skip to Main Content

VISION

To become the market leader in providing tailor-made health care solutions to improve health conditions to Tanzania and beyond.

Dira yetu

Kuwa kinara katika ufumbuzi wa changamoto za afya kwa wote ndani na  nje ya Tanzania kwa kutoa huduma za kimkakati, zinazokidhi mahitaji kwa lengo la kuboresha afya ya jamii.

MISSION

To provide high-quality affordable curative preventive and Rehabilitation services through a transformed model; Integrated with regional and globally recognized research, education, and inversion to respond to current and future clients’ needs.

DHAMIRA

Kutoa huduma bora za afya za kinga, tiba na utengamano zilizoboreshwa kimkakati na kwa bei nafuu zikizingatia elimu, utafiti, ubunifu na uvumbuzi unaotambulika kitaifa, kikanda na kimataifa kwa lengo lakukidhi mahitaji ya jamii.

Sponsor
Back To Top